Zao song by Fivara from Primary Album Fikra-ni-vazi-la-rap. The music is composed and produced by Joel. Genre is Rap music. The Record company is unknown. Released on September 25, 2017.
Zao Meaning
[“Zao”[Intro:] Touch Music, 9th Baba kwenye mdundo Prof. Ludigoo, Fikra ni vazi la Rap Wakilisha Mbwa wakali, Muzik Attitude (twende) [Verse 1:] Zao la Prof. Jay, zao la Mr. II Zao la Kwanza Unit, kwa kifupi K.U Nadata kwa ushairi sio mapozi ka’ Bluu Zao la Chindo man kutoka Kijenge juu Zao la J.C.B acha nilenge tu Ukiskia Pah! imekukosa panda taxi twenzetu Zao la Fid Q, zao la Dandu Sina makosa, unauaa gemu ndio masomo yangu Zao la Hasheem Dogo, zao la Kikosi Zao la Salu uandishi nilionao mikosi Usiulize zao la nani? hili zao la Rado Chem chem ya maarifa sio mitambao ya chabo Zao la Zay B ona sasa nipo gado Zao la Nature na vina ka’ msitu vipo bado Zao la Sister P, zao la Rah P Kazi ya Mola haina makosa, mi sio zao la Madee [Chorus:] Fikra ni Vazi la Rap (zao) Nipo kuikinga Hiphop kama ngao Waliotangulia wamefanya sehemu yao Tumejifunza kwao, tuwape heshima yao Fikra ni Vazi la Rap (zao) Nipo kuikinga Hiphop kama ngao Waliotangulia wamefanya sehemu yao Tumejifunza kwao, tuwape heshima yao [Verse 2:] Usilete za kuleta, hili zao la Dudu Baya Kitaani Most wanted kisa nahusudu kaya Nageuka zao la Vinega, siwezi abudu hawa Kuipigania haki, hawawezi kutugawa Zao la Imam Abbas na mitaa ya kati Inatuokoa sanaa, sina mizaha na kazi (yes) Zao la Adili Chapakazi Staki mambo ya kuwa busy huku sijapata kazi Zao la Mangwair East zoo Ku’switch ni easy, usidhani style ni hizi tu Zao la A.Y, commercial nakidhi tu Zao la Nako pia la Binamu, usidhani na’bang machizi tu Zao la Saigon, Sinza Oi Oi Kibongo, kinyamwenga kipi utanishinda goi goi? Mtetezi wa wanyonge, zao la Langa Fikra chanya na nzito tofauti na zao la pamba [Chorus:] Fikra ni Vazi la Rap (zao) Nipo kuikinga Hiphop kama ngao Waliotangulia wamefanya sehemu yao Tumejifunza kwao, tuwape heshima yao Fikra ni Vazi la Rap (zao) Nipo kuikinga Hiphop kama ngao Waliotangulia wamefanya sehemu yao Tumejifunza kwao, tuwape heshima yao] |
The video content came from: Youtube
Commonly asked questions
- What is the name of the producer of the lyrics for Zao?
This lirics prodiucer by Prof. Ludigo & 9th Baba.
- Who is the songwriter behind this hit single? Zao
Zao song lyrics is written by Fivara
